NICTBB kimsingi itawasaidia waendeshaji wenye leseni na watoa huduma kuboresha muundo wao wa gharama kwa kuwa itawawezesha kufanya yafuatayo:
Kutoa huduma za uunganisho wa rejareja kitaifa kwa gharama nafuu zaidi.
Kutoa viwango vya juu zaidi vya huduma kwa wateja wao kutokana na kuwepo kwa mtoa huduma mbadala wa masafa marefu.
Kujikita katika biashara zao kuu, kama vile metro fibre optic networks kwa ajili ya backhaul ya metro, pamoja na huduma za wireless za last miles.